Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida, aachia comments kujadili suala la Humphrey Polepole

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida, aachia comments kujadili suala la Humphrey Polepole

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Screenshot_20250714-105807.png
Hawa watu wa CCM wamekuwa na "ujinga" wa kupost vitu halafu wanafunga comments.
 
View attachment 3405491
Hawa watu wa CCM wamekuwa na "ujinga" wa kupost vitu halafu wanafunga comments.
Ana akili finyu sana huyu. Anapuuza hisia? Hajui kuwa kabla ya uchanganuzi na maamuzi mambo huanza na hisia kabla ya kujipima?
Kumbe wao hawana hisia? Ndiyo maana wanapoza hisia za qengine wanapolalamika ndugu na marafiki zao kupotezwa, na kuuawa? Kumbe mambo yote ya hovyo ni sababu nchi inaongozwa na watu wasio na hisia au wanaopu7za hisia zao euther ziwe nzuri au mbaya?
 
Ukisifia kwa ubinafsi ni sawa, ila ukikosoa kwa ubinafsi sio sawa sio ?
 
Kwani hujui kuwa ccm haitakiwi mawazo mbadala!! Ukiambiwa ni njano nawe unaona ni nyekundu, basi hutakiwi kusema. Kaa kimya au kubaliana na ujinga.
 
😁😁😁😁

Hii nchi ikitokea uka Mpinga Mama lazima wakujibu tena Kwa vitisho vya hali ya juu ila ukimsifia Sasa wanakuimbia mpaka nyimbo njema za mapambio
 
Kaamua kuchagua vijineno kuunda sentesi zisizokuwa na mantiki... Kupitia hivyo vineno ajione ana busara wahedi... Eti "hulka sio nafsi".... Hii nini wajameni
 
Hawa vipi? Kaandikiwa Rais Samia, tena sio mwenyekiti wa Chama.
Halafu watu wana kiherehere hata kabla aliye andikiwa hajajibu wao wana tusumbua na maneno maneno.
Wako kama wapiga chabo wa guest house, pump kwa mwingine mauno ni nyie huku nje! Kha!
 
Back
Top Bottom