The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa Ndugu Zainab Mwamwindi hivi leo Februari 15 ameongoza kikao maalum cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la UWT Mkoa wa Iringa kilichofanyika katika ofisi za UWT Mkoa wa Iringa.