peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Nov 29, 2023 #1 Ujio wako mkoa wa Kilimanjaro fedha zinaombwa kila mahali, na huna Habari fedha zinakusanywa tena Kwa fedhea kubwa. Ulipanga safari bila kuwa na Bajeti ya safari zako mkoani Kilimanjaro? Kama utakuwa unaokota fedha Za kuomba omba Kwa watu , bora ujikalie huko uliko! Ukitaka kuja jitegemee au CCM na UWT ikugharamie. Unasababisha watu kusumbuliwa na michango na michango yenyewe haijulikani itatumika kununua nini na mapato na matumizi yake yanasimamiwa na nani? Your browser is not able to display this video.
Ujio wako mkoa wa Kilimanjaro fedha zinaombwa kila mahali, na huna Habari fedha zinakusanywa tena Kwa fedhea kubwa. Ulipanga safari bila kuwa na Bajeti ya safari zako mkoani Kilimanjaro? Kama utakuwa unaokota fedha Za kuomba omba Kwa watu , bora ujikalie huko uliko! Ukitaka kuja jitegemee au CCM na UWT ikugharamie. Unasababisha watu kusumbuliwa na michango na michango yenyewe haijulikani itatumika kununua nini na mapato na matumizi yake yanasimamiwa na nani? Your browser is not able to display this video.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 29, 2023 #2 CCM ni rushwa tupu
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 28,259 Reaction score 41,416 Nov 29, 2023 #3 Chatanda mwenyewe ni shangingi tu wa mjini! Kwa ufupi CCM ni mzoga na wanachama wake ni tai. Palipo na mzoga ndipo watakapikusanyika tai.
Chatanda mwenyewe ni shangingi tu wa mjini! Kwa ufupi CCM ni mzoga na wanachama wake ni tai. Palipo na mzoga ndipo watakapikusanyika tai.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 30, 2023 #4 Siasa ndivyo zilivyo...