The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Mkuu ushawahi kutana na hao TRA wa kkoo?Nachokiona ni kwamba wafanyabishara hawataki kabisa kulipa kodi nchi hii.
Vat inakua na ugumu gani kukusanywa wakati sio wewe mfanyabiashara unaeilipa? Kodi alipe mwingine wewe ukusanye kisha usipeleke serikalini ndio uone ni ngumu?Bidhaa viwandani au bandarini ziwekewe vat direct.
Kumdai vat mtu wa pili Kutoka mwisho ni uonevu na kutengeza ugumu wa kuikusanya Kodi hiyo.
Hivi unaakili kweli wewe?? Hebu rudia mara mbili mbili ulichoandika mwehu weweVat inakua na ugumu gani kukusanywa wakati sio wewe mfanyabiashara unaeilipa? Kodi alipe mwingine wewe ukusanye kisha usipeleke serikalini ndio uone ni ngumu?
Na sijui kwanini jambo dogo kama hili linakuwa linaleta migogoroBidhaa viwandani au bandarini ziwekewe vat direct.
Kumdai vat mtu wa pili Kutoka mwisho ni uonevu na kutengeza ugumu wa kuikusanya Kodi hiyo.
Vat ni kama Kodi ya kichwa ni ngumu kuzikusanya hiyoVat inakua na ugumu gani kukusanywa wakati sio wewe mfanyabiashara unaeilipa? Kodi alipe mwingine wewe ukusanye kisha usipeleke serikalini ndio uone ni ngumu?
Mbona TRA wakiwaacha wafanyabiashara bila kuwafuatilia hawatalipa kodi.Mwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo anasema chanzo cha mgomo wao ni TRA kurudisha enforcement.
Malalamiko yao makubwa ni kwamba TRA inawaonea kwa sababu inawadai VAT na waziri mkuu aliagiza TRA iwasikilize.
Nachokiona ni kwamba wafanyabishara hawataki kabisa kulipa kodi nchi hii. Hii nchi itaendeleaje kama watu hawataki kulipa kodi?
View: https://www.instagram.com/reel/C8jy0vIiY4L/?igsh=MXdqMjhwZncxMzhxbg==
Mchina aliyepo Tz Kwa Mfano,Vat inakua na ugumu gani kukusanywa wakati sio wewe mfanyabiashara unaeilipa? Kodi alipe mwingine wewe ukusanye kisha usipeleke serikalini ndio uone ni ngumu?
Wabunge hawa amabo hawataki kujadili suala la sukari, kuna kodi billioni ngapi zimesamehewa hapo? Hivi kuna suala gani la maana bunge limefanya?Mfumo wa kodi una shida gani inahitaji mjadala wa ki taifa wabunge wasikilize maoni ya watu wote
Kodi zikishakusanywa wanampelekea mama anazichezea na mwanawe watakavyoMwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo anasema chanzo cha mgomo wao ni TRA kurudisha enforcement.
Malalamiko yao makubwa ni kwamba TRA inawaonea kwa sababu inawadai VAT na waziri mkuu aliagiza TRA iwasikilize.
Nachokiona ni kwamba wafanyabishara hawataki kabisa kulipa kodi nchi hii. Hii nchi itaendeleaje kama watu hawataki kulipa kodi?
View: https://www.instagram.com/reel/C8jy0vIiY4L/?igsh=MXdqMjhwZncxMzhxbg==
Mbona lile bonge nyanya kipindi cha mgomo wa kwanza liliisifia serikali? Tanzania ni nchi yenye vituko vingi na maigizo ya kijinga. Mpaka wananchi tutakapojua CCM ni kundi la wahuni, hakuna kitakachobadilika.Bidhaa viwandani au bandarini ziwekewe vat direct.
Kumdai vat mtu wa pili Kutoka mwisho ni uonevu na kutengeza ugumu wa kuikusanya Kodi hiyo.
Kwanini akupe listi ya 190000?Mchina aliyepo Tz Kwa Mfano,
Anauza Guta Kwa mfanyabiashara Kwa Bei ya 2000,000,
Na selling price ni 2050,000, na mchina huyo anakupa risiti iliyoandikwa 1900,000 pungufu ya Bei uliyolipia ya 2,000,000.
Ukifika dukani kwako ukauza Kwa 2050,000, mteja atadai utoe risiti halali ya 2050,000.
Haya, huyo mfanyabiashara atapeleka au hesabu yake ya vat itasomekaje.
Majibu tafadhali 🙏