Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Utashangaa wamemuu
Hamna njia nzuri ya kuanzisha jambo cha msingi wameanza kudai wanachokiaminiKitu vijana tunakosa kwenye mambo yetu mengi ni mifumo. Hapo unaweza ukakuta hawa NETO kwenye safu zao wote ni waalimu wasio na ajira. Hii inafanya mara nyongi sana harakati na vuguvugu za vijana wengi kuangukia pua na kuonekana ni vikundi vya wahun waleta vurugu.
Ila siku tukiona ipo sababu ya kuwa na safu zenye fani tofauti tofauti hapo tutaweza kushauri na kushinikiza mambo mengi chanya. Ushauri na kushauriwa ni jambo muhimu sana
Walioingiza siasa huwaoni?Kumbe tayari mmeingiza siasa
Ni mwanzo tu, yatalipuka mengine zaid ndipo revolution itakapo anziaHili bomu la under unemployment limelipuka mapema sana!
Hoja ninayoona ya msingi niAcheni vijana wajipambanie , Kama hauwezi kuwaunga mkono waache wengine watawaunga mkono .
Unafikiri wangekaa kimya Serikali ingefikiria kuboresha Madai yao .
Hoja zao ni za msingi Sana
Ukweli mkuu hizo 12 nawaachia wengine 😁nabaki kwenye gear 6 baba matipa, Costa hizi, canter,Dereva kazoea gari ya gia6Leo apangue GIA 12lazima apitie mafunzo kidogo!
Kwa apa father sikupingi! LakiniHao walimu walisoma ili wajiajiri?
No hatusemi utaajiri wote, hivi una akili timamu unaita kwenye interview walimu laki 2 kwa nafasi elf 12 tu? kuna shida, kwamba hakuna upungufu wa walimu now?Kwa apa father sikupingi! Lakini
Kuna kitu kinaitwa break through - diverging the professional
Sahivi watu wanataka digital trainees, digital managers, watu wa branding
, kuna printing, U-Mc pia unalipa
Kwa kina dada walimu kuna course za mapambo, kwanini mtu asi diverge huku🤔ni mawazo tu
Lest say umefungua kiwanda cha nguo tz hapa ya kuanzia,kutafta raw materials, kushona, assembling mpaka marketing nafasi 3000 je? Wakija watu 16000 utawafukuza? Hapa itabidi tu ufanye usaili mpaka upate the bestNo hatusemi utaajiri wote, hivi una akili timamu unaita kwenye interview walimu laki 2 kwa nafasi elf 12 tu? kuna shida, kwamba hakuna upungufu wa walimu now?
Mbumbumbu ni wewe uliamua kuwa chawa wa watawala. Kuhusu enzi za MEKO alikuwa anasema anawatoa ninyi watu hewa kwamba ambao baadae mmejiajiri kwenye uchawa. Tulimpa muda tu lakini si kwamba ilishindikana kutokea organization hii. Hata kama ungekuwa wewe ndiye Rais wa nchi hii Kwa chama chochote na tatizo hili Bado lipo organization ingeundwa tu.Hakuna serikali inayogawa pesa Wala kuajiri watu Ili iqatoe kwenye njaa na jobless.
Serikali ikiamua kuwasaka Iliweza na mkapoteana.
Mlikuwa wapi kuunda hicho kiumoja chenu za Kisiasa awamu ya Magufuli ambae alikuwa haajiri ndio mje kuleta ujinga wenu awamu ya mama aliyewaonea huruma?
By the way nyie mbumbumbu mnaotumika mlipata div.3 harafu hamtaki Usaili eti mna vyeti 😂😂
Unashangaa form four failure huwa wanareason?Sasa polisi kwa kosa gani? Tena kunyimwa dhamana mbona polisi wanafanya mambo ya ajabu hivi?
Kaka mimi na wewe huwa tuna heshimiana, sija wahi fikiria hata kukutusi kisa mjadala au hoja.Nyie wajinga ndiyo maana taifa halina maendeleo
Na sisi wa kada zingine tunafuata nyayo zenu mpaka watanzania wote tuajiriwe na serikaliTupo hapa tunafuatilia Kwa ukaribu Sana. Na hii njia ikifail tuna mbinu nyingine. Mpaka tule wote cake ya taifa Kwa haki na Kwa usawa.
Issue ni kuajiri walimu hata elf 50, upungufu wa walimu ukoje?Lest say umefungua kiwanda cha nguo tz hapa ya kuanzia,kutafta raw materials, kushona, assembling mpaka marketing nafasi 3000 je? Wakija watu 16000 utawafukuza? Hapa itabidi tu ufanye usaili mpaka upate the best
Emu give out your solutions, je nini kifanyike
wewe ni jobless mjingamjinga sanKama ana tuhuma zinazofaa kumpeleka mahakamani wampeleke. Kumnyima dhamana na kumshikilia kwa muda mrefu haitakuwa sawa. Cha muhimu vijana wasianzishe kichwa kichwa hizi movements zao. Wazingatie sheria na sio kuropoka bila ushahidi. Vyombo vya usalama vinalinda amani ya nchi hii kwa wivu mkubwa kwahiyo kabla hujaropoka tafakari kwanza.
Hawa NETO hawakuwa na hoja nzito zaidi ya kulalamika bila sababu za msingi. Kila fani ikianzisha umoja wa majobless na kufanya press conference itakuwa ni vurugu.
UHitaji walimu ni mkubwa sanaIssue ni kuajiri walimu hata elf 50, upungufu wa walimu ukoje?
Why not serikali haiajiri walimu?UHitaji walimu ni mkubwa sana
Ndio maana nimeweka sababu zaidi ya moja hapo kwenye kukosa dhamana. Sababu ya kwanza kabisa na ambayo nimeiwekea uzito ni hiyo ya kutokuandikiwa kosa yaani anashikiliwa bila ya kuwepo kwa kosa la jinai na hili linawezekana kabisa na ni ruhusa kwenye sheria zetu.Kwa scenario ya jamaa ambaye amekamatwa siku chache baada ya kuilalamikia serikali
Hivi unadhani kama hoja ya kukamatwa kwake na kunyimwa dhamana ni pamoja na kuwepo kwa viashiria vya yeye kuwa hatarini, unafikiri odds zinaonesha ni nani wanaopewa nafasi ya kuhatarisha maisha ya jamaa?
Jamaa hakuwatukana majambazi, hakuwa expose wauza madawa ya kulevya kiasi cha polisi kumuweka kizuizini kulinda usalama wake.
Sasa kama kuikemea serikali kuhusu tatizo la ajira jambo hilo liende kuhatarisha maisha yake basi sioni usalama wake wowote hata akiwa hapo polisi kwasababu nao pia ni sehemu ya serikali na inaweza kupokea maagizo na ikafanya kama ilivyo tumwa.