Mwenyekiti wa waposti pumba

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
poleni na majukumu wakuu

saizi nimekaa natafakari juu ya watu wanapost pumba jf akina ndege John, zero iq na kisandu junior nimegundua kua mimi nafaa kua Mwenyekiti wao kwa sababu zifuatazo


moja😛umba zangu hazichoshi unavosoma nasema hivi kwa sababu najijua nna uwezo wa kutengeneza pumba nzuri inayo weza kumvutia kila mmoja na akafurahi wakati anasoma

mbili:kwene pumba zangu lazima utajifunza kitu huwezi kutoka mtupu namaanisha hakuna uchafu ambao ni uchafu wote koo ata nikipost pumba kiasi gani lazima utagain kitu


tatu:najua kwenda na wakati namaanisha nafahamu wana jf wezangu mnafikiria nini niwatengenezee pumba ya aina gani gani ili twende sawa ili niwatoe mawazo

NB:sababu zipo nyingi sana za kufanya mi niwe Mwenyekiti wenu but all in all naombeni mnichague kua meen wa waposti pumba kwa sababu nna kila kigezo
 
Nyinyi wote role model wenu ni Deo Kisandu. Atakayempita yule ndiyo awe mwenyekiti
 
mbaya zaid ni pale pumba zako zinapokosa wateja na ikakubidi kuzitumia we mwnywe
 
Izo pumba peleka kwa wafugaji huwa wanalishia mifugo inanawiri haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…