Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Utaumia Sana

Na ikifika 2024 watu wanaandamana ili mzee Magu aendele kuwa Rais.

Kama una dola makini unshindwaje uchaguzi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
HUU NDIO UKWELIIII!

TUPO NA JPM 2020 - 2025 [emoji1241]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Acha unafiki wewe. Rais MAGUFULI anafanya kazi nzuri sana. Alishasema usitishie kumwaga damu maana huko hutafika mwaga hata mkojo tu utasimulia *****... Rais tunaye, Bravo JPM kanyaga twende! #T2020JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uchonganishi
Mimi nimekulia kwenye "academic arena",hasa UDSM (nimeishi na kufanya kazi kwa jumla ya miaka 32).
"Wasomi" wengi wa kutoka "jalalani" waliopewa teuzi mbalimbali hawamkubali jiwe kabisa. Hili lipo wazi, kila nikipata wasaa wa kuongea nao,wanakiri wazi hawawezi mpa kura kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Madava....
 
Watakao kuelewa ni wachache sana marekani hajawai kuingia kwenye operation akafeli
Wamefeli sana tu. Sema wakifeli hizo nchi wanazipa sanctions mbaya na mara nyingi wanaomia ni wananchi. Zim, Iran, North Korea hata sisi miaka ya 80 ni mifano tosha.
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
P....je unaelewa maana ya Milele?
Naomba uondoe neno milele usipoliondoa utakuwa shabiki njaa wa ccm ama hujui kiswaili, kwa maana hii utakuwa hujui ulichoandika.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P....je unaelewa maana ya Milele?
Naomba uondoe neno milele usipoliondoa utakuwa shabiki njaa wa ccm ama hujui kiswaili, kwa maana hii utakuwa hujui ulichoandika.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiumize kichwa mkuu, right now mtu hutumia kichwa cha chini kama sio tumbo kufikiria. Bongo zao zimepigwa upofu hazina Visions kabisa. Wakongwe wamebaki maajuza na mashaibu wa fikra. They can't focus on nation stability anymore!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
Hebu jamani ufike wakati mjitahidi kusema ukweli. Hivi unadhani CCM watu wanaiamini? wangeiamini mngetumia nguvu mnazotumia kusalia madarakani? Hili hata mtoto wa chekechea analiona wazi.

No ccm haipendwi, ila inalazimisha kuwaaminisha wajinga hivyo. Leteni uchaguzi huru na uwanja sawa wa kisisasa hata kwa miezi hii iliyobaki muone ukweli wake.
Kama mnapendwa ukweli utajidhihirisha. Kutumia polisi na tume abayo ni makada wa ccm kutangaza matokeo mnayoyataka halafu mnasema mnapendwa???!!!

Kwa hali iliyopo sasa ya mtindo wa siasa kandamizi na usimamizi wa ccm kwenye kila uchaguzi, upinzani kushinda ni ndoto.

Let there be a free and fair play ground and see the results.
 
Wazungu sasa wanaenda kuikataa CCM kwa nguvu kubwa baada ya kuona video za magerezaccm walivyowapiga wabunge mdee na bulaya kilichobaki CCM inawategemea china kwa kila kitu ndiyo maana Serikali ya CCM imeshindwa kuzuia Ndege za kutoka china zinazomimina wagonjwa wa corona kwa wingi hapo Tanzania, njaa ya pesa za kampeni toka china inaleta maafa ya corona
 
CCM inaitegemea china kwa kila kitu hata Ndege toka china zikija na wagonjwa wa corona 5000 ni ruksa, Duniani kote wamepiga marufuku Ndege toka china lakini Serikali ya CCM yenyewe inaruhusu Ndege za wagonjwa wa corona kuingia Tanzania
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
Ww ndugu unatazama mambo kwa jicho la kengeza hujaona chama mbadala maana yake nn chama ni nini yaan kwa maana halis ya chama ccm sio chama tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kafeli maeneo mengi tu labda huijui historia vyema.
Hata kauli ya jana ya Mbowe bado ni mtego kwa utawala wa awamu ya tano.. Ina hitajika busara sana kutolea maamuzi ya hekima maagizo ya Mbowe ya jana.
Hata kilicho watokea kina Halima magereza juzi Inspecta General wa magereza anatakiwa kuchukua hatua. Hili ni doa na kun avyombo vina weka kumbukumbu.. Serikali inatakiwa kuwa smart kuepuka lawama baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Wewe siyo ccm utakuwa mlupo wa ccm

-
 
Back
Top Bottom