Utaumia SanaSalam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
HUU NDIO UKWELIIII!Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
Acha unafiki wewe. Rais MAGUFULI anafanya kazi nzuri sana. Alishasema usitishie kumwaga damu maana huko hutafika mwaga hata mkojo tu utasimulia *****... Rais tunaye, Bravo JPM kanyaga twende! #T2020JPMSalam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Mimi nimekulia kwenye "academic arena",hasa UDSM (nimeishi na kufanya kazi kwa jumla ya miaka 32).Acha uchonganishi
Ila kumbukumbu zipo za yule kiongozi anayekiri kuwa yeye ni kichaa!?
Madava....Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Wamefeli sana tu. Sema wakifeli hizo nchi wanazipa sanctions mbaya na mara nyingi wanaomia ni wananchi. Zim, Iran, North Korea hata sisi miaka ya 80 ni mifano tosha.Watakao kuelewa ni wachache sana marekani hajawai kuingia kwenye operation akafeli
P....je unaelewa maana ya Milele?Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.
Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.
Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Kanisome hapa kwa kituoP....je unaelewa maana ya Milele?
Naomba uondoe neno milele usipoliondoa utakuwa shabiki njaa wa ccm ama hujui kiswaili, kwa maana hii utakuwa hujui ulichoandika.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni moja kati ya mambo yanayoshusha sana heshima yako mwandishi nguli wa nchi hii
Usiumize kichwa mkuu, right now mtu hutumia kichwa cha chini kama sio tumbo kufikiria. Bongo zao zimepigwa upofu hazina Visions kabisa. Wakongwe wamebaki maajuza na mashaibu wa fikra. They can't focus on nation stability anymore!!!P....je unaelewa maana ya Milele?
Naomba uondoe neno milele usipoliondoa utakuwa shabiki njaa wa ccm ama hujui kiswaili, kwa maana hii utakuwa hujui ulichoandika.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu jamani ufike wakati mjitahidi kusema ukweli. Hivi unadhani CCM watu wanaiamini? wangeiamini mngetumia nguvu mnazotumia kusalia madarakani? Hili hata mtoto wa chekechea analiona wazi.Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.
Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.
Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Wazungu sasa wanaenda kuikataa CCM kwa nguvu kubwa baada ya kuona video za magerezaccm walivyowapiga wabunge mdee na bulaya kilichobaki CCM inawategemea china kwa kila kitu ndiyo maana Serikali ya CCM imeshindwa kuzuia Ndege za kutoka china zinazomimina wagonjwa wa corona kwa wingi hapo Tanzania, njaa ya pesa za kampeni toka china inaleta maafa ya corona
Ww ndugu unatazama mambo kwa jicho la kengeza hujaona chama mbadala maana yake nn chama ni nini yaan kwa maana halis ya chama ccm sio chama tena!Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.
Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.
Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Hata kauli ya jana ya Mbowe bado ni mtego kwa utawala wa awamu ya tano.. Ina hitajika busara sana kutolea maamuzi ya hekima maagizo ya Mbowe ya jana.kafeli maeneo mengi tu labda huijui historia vyema.
Wewe siyo ccm utakuwa mlupo wa ccmSalam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
maneno ya wanachama wenzangu kama nyie hayanishangaz sanaWewe siyo ccm utakuwa mlupo wa ccm
-