Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. Hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa ngumu sababu ni...
Turudie katika asili yetu. turudi kule ambako kulitusaidia tukawa Yanga ile. Tatizo nini Hersi kwenda omba msamaha na kurudishiwa mganga wetu.
Tumsikilize Manara tumpe na Uongozi.
Turudie katika asili yetu. turudi kule ambako kulitusaidia tukawa Yanga ile. Tatizo nini Hersi kwenda omba msamaha na kurudishiwa mganga wetu.
Tumsikilize Manara tumpe na Uongozi.