Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Jamaa alipotapika wakati kipindi cha pili kinaanza, ilipashwa mtu wa utopolo aweke hata maji mengi mdomoni kisha ayatapike.Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa ngumu sababu ni ......
turudie katika asili yetu. tuudie kule ambako kulitusaidia tukawa Yanga ile. tatizo nini Hersi kwenda omba msamaha na kurudishiwa mganga wetu. tumsikilize Manara tumpe na Uongozi.
Kumbe ni uchawi!Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa ngumu sababu ni ......
turudie katika asili yetu. tuudie kule ambako kulitusaidia tukawa Yanga ile. tatizo nini Hersi kwenda omba msamaha na kurudishiwa mganga wetu. tumsikilize Manara tumpe na Uongozi.
Sanayanga raha sanaa.!!
Wabongo na imani za kishirikina bwana, hakuna cha kuomba msamaha.Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. Hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa ngumu sababu ni...
Turudie katika asili yetu. turudi kule ambako kulitusaidia tukawa Yanga ile. Tatizo nini Hersi kwenda omba msamaha na kurudishiwa mganga wetu.
Tumsikilize Manara tumpe na Uongozi.