Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wetu wa Chama ameshika hatamu, Fomu ya kuomba uteuzi kugombea Urais ni moja tu!

Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?

Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?

Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
 
Ukiwauliza Lowassa aligombea na nani ngazi ya Chama 2015 wanakwambia ile ilikuwa special case
 
Ukiwauliza Lowassa aligombea na nani ngazi ya Chama 2015 wanakwambia ile ilikuwa special case
Jibu swali, mwaka huu mfalme wenu juha anagombea na Nani ndani ya chama chenu ?¿
 
Hakuna formula hata Senator Edward Kennedy aligombea na Raisi Jimmy Carter.
 
Bill Weld, Joe Walsh na Roque de la Fuente walijitokeza kwenye Republican Primaries mwaka huu. Keith Russel Judd, mfungwa alipata 41% ya kura dhidi ya Obama katika Primaries za West Virginia za mwaka 2012. John Wolfe Jr na wengine nao walijitokeza kupambana na Obama mwaka huo huo. Blake Ashby alipambanana George W Bush. Mwaka 1984, Harold Stassen alishindana na Ronald Reagan. Ingawa wote hawa walikuwa na uwezekano mdogo wa kushinda lakini walijitokeza na kushindana.

Amandla.....
 
Unajua we jamaa huna akili na ni mjinga? Ishu ni CCM kufuata katiba yao we unaleta masuala ya Marekani kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni utaratibu ambao wamejiwekea sidhani kama kuna habari mpya kuhusu hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…