Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
HUU NI UDIKITETA WA HALI YA JUU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUU NI UDIKITETA WA HALI YA JUU
ULIDHANI UHURU?Gazeti lenyewe ni Tanzania Daima!
Trump alikua na mpinzani mkuu fuatilia...... japo huyo mpinzani hakuna popular kihivyo!Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Moja tuuuu
Hebu acha vioja vyako hivyo. Mnawaita mabeberu na bado mnataka kuwaiga mambo yao. Kwani hii sheria ya kikaburu ya kuzuia hao madhalimu wasishitakiwe mmeiga huko kwa mabeberu pia!?Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?