Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wetu wa Chama ameshika hatamu, Fomu ya kuomba uteuzi kugombea Urais ni moja tu!

Trump alikua na mpinzani mkuu fuatilia...... japo huyo mpinzani hakuna popular kihivyo!
 
Hebu acha vioja vyako hivyo. Mnawaita mabeberu na bado mnataka kuwaiga mambo yao. Kwani hii sheria ya kikaburu ya kuzuia hao madhalimu wasishitakiwe mmeiga huko kwa mabeberu pia!?

Mbona uchoko na ushoga wao hamuigi pia. Funga bakuli lako.
 
Lakini si huwa mnakataa kufananishwa na mabeberu?

Sasa inakuaje unaleta ulinganisho wa Marekani na Shiiii...kantri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…