Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi Idd Kimanta amewataka wananchi kulinda amani kipindi cha uchaguzi ikiwanipamoja na kuchagua viongozi wanaofaa kuwatumikia kwa miaka mitano ijayo.
Kimanta ameyasema hayo wakati akizungumza na wa umini wa dini ya kikristo alipokua akiongoza halambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Aglikana Mtapenda ambapo amekemea rushwa kipindi cha uchaguzi.
Kwaupande wake Askofu wa kutoka ziwa Rukwa Efrahim Ntikabuze pamoja na waumini wamesema watatekeleza maelekezo yaliyotolewa.
Kiasi cha shilingi milioni 8.7 kimepatikana katika harambee hiyo kwaajili ya ujenzi wa kanisa la agrikana mtapenda.