ACT na CHAUMMA wamesema wao hawasusii CCM ati watalinda KURA!NEC YENU
VYOMBO VYA ULINZI VYENU
KILA KITU MNA CONTROL NYIE
KWANINI MSISHINDE
ova
Badaye wataliaaaACT na CHAUMMA wamesema wao hawasusii CCM ati watalinda KURA!
wakati maFISIEMU wanasema Lazima WASHINDE
Wataliaje wakati matumbo yatakuwa yamejaaBadaye wataliaaa
Ova
Ina maana ushindi wa CCM haukwepeki kama vile binadamu asivyoweza kukwepa kifo.Yaani ushindi wa CCM sawa na kifo maana yake nini??? Hebu aliyemuelewa afafanue jamani. Yaani hakika Mh. Kawaida hapa hajaeleweka kabisa.
Dah nadhani wana CCM katukwaza, kama Gwajiboy katumia mfano wa comrade mtoto wa rais anatafutwa auawe na polisi wetu wa Tanzania inakuwaje yeye atumie mfano wa CCM na kifo???? Nadhani halikuwa neno rais ni sawa na kujitabilia CCM inaenda kufa kwa migogoro. Cheki tu katiba yetu ya uchaguzi ya chama hatukuifuata na leo unatumia neno kifoIna maana ushindi wa CCM haukwepeki kama vile binadamu asivyoweza kukwepa kifo.
wapumbavu sana sana nyieMwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu kimetekeleza Ilani yake kwa kishindo.
Mwenyekiti Kawaida amewataka Vijana kuwa tayari kukilinda CCM muda wote kwa sababu Ulinzi wa CCM ni jukumu la Vijana.
Ameyasema hayo katika Mkutano wa ndani uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nazareth, Manispaa ya Sumbawanga leo 15 Juni, 2025 ikiwa ni tamati ya Siku mbili za Ziara yake Mkoani Rukwa.
Kawaida anaendelea na Ziara yake ya Siku Saba za Kibabe katika Mikoa ya Katavi, Rukwa na Songwe itakayomalizika 17 Juni, 2025.
hapana mkuu, anamaanisha ushindi wa kishindo na ni lazimaAnamaanisha ccm inakufa uchaguzi huu?
Acha kulia lia. Ushindi wa CCM ni lazimaDah nadhani wana CCM katukwaza, kama Gwajiboy katumia mfano wa comrade mtoto wa rais anatafutwa auawe na polisi wetu wa Tanzania inakuwaje yeye atumie mfano wa CCM na kifo???? Nadhani halikuwa neno rais ni sawa na kujitabilia CCM inaenda kufa kwa migogoro. Cheki tu katiba yetu ya uchaguzi ya chama hatukuifuata na leo unatumia neno kifo
Ahh hapo nimekuelewa mkuuWataliaje wakati matumbo yatakuwa yamejaa
Labda baada ya kwenda chooni
ANAMAANISHA VIJANA WANATAKIWA WAONGEE UJINGA, WAFANYE VURUGU KWENYE MIKUTANO YA CHADEMA,NA VIJANA WABAKI KUTII BILA KUHOJI KAMA "MBWA"!!?Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu kimetekeleza Ilani yake kwa kishindo.
Mwenyekiti Kawaida amewataka Vijana kuwa tayari kukilinda CCM muda wote kwa sababu Ulinzi wa CCM ni jukumu la Vijana.
Ameyasema hayo katika Mkutano wa ndani uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nazareth, Manispaa ya Sumbawanga leo 15 Juni, 2025 ikiwa ni tamati ya Siku mbili za Ziara yake Mkoani Rukwa.
Kawaida anaendelea na Ziara yake ya Siku Saba za Kibabe katika Mikoa ya Katavi, Rukwa na Songwe itakayomalizika 17 Juni, 2025.
Neno lililotumika lina ukakasiAcha kulia lia. Ushindi wa CCM ni lazima
Uwezo wenu wa kuelewa ni mdogoNeno lililotumika lina ukakasi
Usimpe kichwa, mimi ni mwana CCM hatutaki mtu wa kuleta kauli za kutupunguzia kula.Uwezo wenu wa kuelewa ni mdogo