Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Wazanzibar sahivi wanatamba balaa Tanganyika ni koloni lao
Wewe ni mwanaCCM mamlukiUsimpe kichwa, mimi ni mwana CCM hatutaki mtu wa kuleta kauli za kutupunguzia kula.
Yeye anaona kuna umuhimu gani kuwa na vyama vingiMwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu kimetekeleza Ilani yake kwa kishindo.
Mwenyekiti Kawaida amewataka Vijana kuwa tayari kukilinda CCM muda wote kwa sababu Ulinzi wa CCM ni jukumu la Vijana.
Ameyasema hayo katika Mkutano wa ndani uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nazareth, Manispaa ya Sumbawanga leo 15 Juni, 2025 ikiwa ni tamati ya Siku mbili za Ziara yake Mkoani Rukwa.
Kawaida anaendelea na Ziara yake ya Siku Saba za Kibabe katika Mikoa ya Katavi, Rukwa na Songwe itakayomalizika 17 Juni, 2025.
Bosi aisee wewe ni mjinga na mpumbavu, uliza wenzako juu yangu hapa jukwaani. Hatutaki utawaa wa dhuluma, tulimtetea sana Dkt Magufuli, hata Dkt Samia alipoapishwa tulikuwa naye ingawa tulimuoshauri sana namna huku mtaani ilivyo ila sasa she is a killer kama ilivyokuwa kwa mtangulizi, we are tired sana na huu ujinga wa kujifanya tunaweza iba kura so we don’t care who are the voters, tena ungekuwa karibu ningekuzaba kibao mjinga kabisa. Let’s have language ya ushawishi na siyo vitisho vya kijingaWewe ni mwanaCCM mamluki
Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu kimetekeleza Ilani yake kwa kishindo.
Mwenyekiti Kawaida amewataka Vijana kuwa tayari kukilinda CCM muda wote kwa sababu Ulinzi wa CCM ni jukumu la Vijana.
Ameyasema hayo katika Mkutano wa ndani uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nazareth, Manispaa ya Sumbawanga leo 15 Juni, 2025 ikiwa ni tamati ya Siku mbili za Ziara yake Mkoani Rukwa.
Kawaida anaendelea na Ziara yake ya Siku Saba za Kibabe katika Mikoa ya Katavi, Rukwa na Songwe itakayomalizika 17 Juni, 2025.
Acha kunililia hapa mimi sio babako. Mamluki hatuwataki CCM. Kajiunge na John Mrema... PumbavBosi aisee wewe ni mjinga na mpumbavu, uliza wenzako juu yangu hapa jukwaani. Hatutaki utawaa wa dhuluma, tulimtetea sana Dkt Magufuli, hata Dkt Samia alipoapishwa tulikuwa naye ingawa tulimuoshauri sana namna huku mtaani ilivyo ila sasa she is a killer kama ilivyokuwa kwa mtangulizi, we are tired sana na huu ujinga wa kujifanya tunaweza iba kura so we don’t care who are the voters, tena ungekuwa karibu ningekuzaba kibao mjinga kabisa. Let’s have language ya ushawishi na siyo vitisho vya kijinga
Nyoko zako na pimbi mkubwa. Hauna uhalali wa kunisemea mi mwana CCM.Acha kunililia hapa mimi sio babako. Mamluki hatuwataki CCM. Kajiunge na John Mrema... Pumbav
Wewe ni mamlukiNyoko zako na pimbi mkubwa. Hauna uhalali wa kunisemea mi mwana CCM.
Ushindi lazima lkn tume huru wanaiogopa kama ukoma!!!Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu kimetekeleza Ilani yake kwa kishindo.