PreGE2025 Mwenyikiti wa UVCCM Mohamed Ali Kawaida: Ushindi wa CCM ni sawa na Kifo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wamejiandaa kuua wale wote walio kinyume nao..ndio tafsiri yake?. Anachokifanya ni sawa na mtu anayezikwa na jeneza ili wadudu wale mbao kwanza ndipo waupate mwili na kuuteketeza....hana akili kawaida, jina lake lenyewe la mashaka mashaka
 
Yeye anaona kuna umuhimu gani kuwa na vyama vingi
 
Wewe ni mwanaCCM mamluki
Bosi aisee wewe ni mjinga na mpumbavu, uliza wenzako juu yangu hapa jukwaani. Hatutaki utawaa wa dhuluma, tulimtetea sana Dkt Magufuli, hata Dkt Samia alipoapishwa tulikuwa naye ingawa tulimuoshauri sana namna huku mtaani ilivyo ila sasa she is a killer kama ilivyokuwa kwa mtangulizi, we are tired sana na huu ujinga wa kujifanya tunaweza iba kura so we don’t care who are the voters, tena ungekuwa karibu ningekuzaba kibao mjinga kabisa. Let’s have language ya ushawishi na siyo vitisho vya kijinga
 



Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi
 
Acha kunililia hapa mimi sio babako. Mamluki hatuwataki CCM. Kajiunge na John Mrema... Pumbav
 
Ushindi lazima lkn tume huru wanaiogopa kama ukoma!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…