Mwenza anahitajika

Mwenza anahitajika

Fsenior

Member
Joined
May 21, 2022
Posts
7
Reaction score
15
Kijana wa kiume, umri 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, niko single, najishughulisha na ufundi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-34, awe anajishughulisha na shughuli yoyote halali, asiwe na mtoto.

Kimaisha bado napambana Kwa hiyo sihitaji mtu anayeangalia maslahi, nahitaji mtu aliye tayari kupambana pamoja nami katika maisha. Kwa aliye tayari njoo PM.
 
Kila la heri kaka.

Kama ni mkristo nenda kanisani. Wanawake kibao wanasaka wenza wamejaa huko.

Kama ni muislamu nenda kwa imamu wa msikiti unaosali. Atakusaidia hitaji lako
 
Hicho kigezo cha anajishughulisha kwa nn mnakipenda!
vijana mnapenda sana dy/dx.
 
Sisi vibibi gagula kuanzia miaka 40 tumeshakosa jamani kigezo cha umri msikiweke
40+ huna dume [emoji848][emoji848][emoji848] kwenye 20+ ulikuwa unafanya nn kusoma au [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom