Mwenza bora anahitajika

Nipo nje ya mashindano vigezo vinne vimenitoa [emoji23] 1,2,3 na 21 haya kila la kheri ukipata uje utuambie tufunge uzi kabisa [emoji4]
Ahahaha akitokea winner na uzi nafunga kwa kweli. Sema sijui kama atakuwepo umu. Sioni dalili kabisaaa
 
We mjinga nini, hujaitwa kuja kucomment apa. Povu lote ilo umefanywa nini?. Kama huna cha kucomment si ungepita tu?. Labda wewe ndiyo umefumuliwa then unakasirika. Shaabash wewe. Kamwambie aliekufumua usiletee bangi zako apa.
Mke mtarajiwa usiwe mkali hawa wanaona gere kwa kuwa hawana vigezo vyako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…