Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silent killers ni kina Erick na EmaHahah Mbona mnasema ni ma silent killer
Kwenye orodha yako nikaona jina langu hadi nikashtuka kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...mie nina kimoja tu (7) .... Dah [emoji2960]Walau nimefikia 50% yaani nusu ya vigezo vyake (mfano hiyo namba 5,7,11,12,13,14,15,16,18 na 19). Zaidi ya hapo, sina sifa kwa kweli!
Ahahaha akitokea winner na uzi nafunga kwa kweli. Sema sijui kama atakuwepo umu. Sioni dalili kabisaaaNipo nje ya mashindano vigezo vinne vimenitoa [emoji23] 1,2,3 na 21 haya kila la kheri ukipata uje utuambie tufunge uzi kabisa [emoji4]
Teh teh teh ...moja ni kwa sababu ya jina halianzi na herufi pendwa...yapili kutokuwa na mipaka kwenye simu hilo pia ni tatizoDah!! Kwanini hizo mbili umezikosa sasa?
Mke mtarajiwa usiwe mkali hawa wanaona gere kwa kuwa hawana vigezo vyakoWe mjinga nini, hujaitwa kuja kucomment apa. Povu lote ilo umefanywa nini?. Kama huna cha kucomment si ungepita tu?. Labda wewe ndiyo umefumuliwa then unakasirika. Shaabash wewe. Kamwambie aliekufumua usiletee bangi zako apa.
Ahah kumbe ww hauna izo tabia eh?Hahah Mbona mnasema ni ma silent killer
Kwenye orodha yako nikaona jina langu hadi nikashtuka kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Loooh!!!! Bila shaka wewe utakuwa unanifahamu ahahahahaha. Mana sio kwa jibu hilo.Mkuu, wewe watu wa kabila lako hauwataki. Unataka wawaoe wakina nani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina cha ndevu za O tu..Ahahahh wewe umefikia vigezo vingapi?
ID yako ya zamani ni ipi? AhahMkuu, wewe watu wa kabila lako hauwataki. Unataka wawaoe wakina nani ?
Sent using Jamii Forums mobile app