Mwenza bora anahitajika

Tunasubiri mrejesho.
 
Sifa zako atazipata tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu, lakini zake unatka uzipate chapchap. Kaolewe na malaika Gabriel[emoji852][emoji852]
 
Mkuu umenichekesha sana[emoji23][emoji23]
Kuna watu wanajiona wako perfect sana. Fikiria vigezo alivyoweka hapo karibia vyote huwezi kuvipat kwa mtu mmoja. Mpaka jina anataka liwe na herufi spesho. Anakera.
 
Kuna watu wanajiona wako perfect sana. Fikiria vigezo alivyoweka hapo karibia vyote huwezi kuvipat kwa mtu mmoja. Mpaka jina anataka liwe na herufi spesho. Anakera.

Huwezi jua labla anataka watu saba tofauti tofauti[emoji23][emoji23]

Acha sie tunaetaka mwanaume yoyote anaepumua tutulie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi jua labla anataka watu saba tofauti tofauti[emoji23][emoji23]

Acha sie tunaetaka mwanaume yoyote anaepumua tutulie[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] punguza kunivunjavunja mbavu kama chatu.
 
Sifa zako atazipata tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu, lakini zake unatka uzipate chapchap. Kaolewe na malaika Gabriel[emoji852][emoji852]
Mkuu Zabron Hamis kwa sifa za Malaika Gabriel nadhani hawatawezana, yule Gabriel aliyetumwa kutoa roho ya mrembo Delilah alipoudhiwa ndiyo ashindwe kuitoa ya pujo ??

Huyu pujo level yake ni MSELA WA MANZESE tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜œπŸ˜œ
 
Yani mpaka damu we kiboko bado hujapata tu kwa hivi vigezo Kama angevitoa mama yako kwa baba yako nadhani ungekua hujazaliwa na mama yako hajaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…