Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri mrejesho.Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha
Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
2)Awe na miaka 29/30
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
6) Awe na ndevu za O
7)Awe na sura yoyote tu
8)Awe mweusi
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
10) Asiwe single father
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia
15)Awe anapenda utani
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
18) Awe na damu group O
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda
kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.
Sifa zangu
Atazipata taratibuuuuu. Ila ni mschana mbichiiii
Uje kama una izo sifa na haijapungua ata moja.
Ahahahahaha nashangaa watu sifa zao za mtu kuwa na kazi tu pamoja na umri. Hivi ndio vigezo sasa. (Nitaleta mrejesho ili watu muendelee kupata moyo wa kutafuta wenza kupitia jukwaa ili. Kama mimi nilivyopewa moyo na watu mbali mbali......
Sifa zako atazipata tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu, lakini zake unatka uzipate chapchap. Kaolewe na malaika Gabriel[emoji852][emoji852]
Kuna watu wanajiona wako perfect sana. Fikiria vigezo alivyoweka hapo karibia vyote huwezi kuvipat kwa mtu mmoja. Mpaka jina anataka liwe na herufi spesho. Anakera.Mkuu umenichekesha sana[emoji23][emoji23]
Kuna watu wanajiona wako perfect sana. Fikiria vigezo alivyoweka hapo karibia vyote huwezi kuvipat kwa mtu mmoja. Mpaka jina anataka liwe na herufi spesho. Anakera.
Huwezi jua labla anataka watu saba tofauti tofauti[emoji23][emoji23]
Acha sie tunaetaka mwanaume yoyote anaepumua tutulie[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] punguza kunivunjavunja mbavu kama chatu.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] usisahau kurudi baadayeBas mkuu me naenda[emoji2210]
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] usisahau kurudi baadaye
Mkuu Zabron Hamis kwa sifa za Malaika Gabriel nadhani hawatawezana, yule Gabriel aliyetumwa kutoa roho ya mrembo Delilah alipoudhiwa ndiyo ashindwe kuitoa ya pujo ??Sifa zako atazipata tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu, lakini zake unatka uzipate chapchap. Kaolewe na malaika Gabriel[emoji852][emoji852]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu Zabron Hamis kwa sifa za Malaika Gabriel nadhani hawatawezana, yule Gabriel aliyetumwa kutoa roho ya mrembo Delilah alipoudhiwa ndiyo ashindwe kuitoa ya pujo ??
Huyu pujo level yake ni MSELA WA MANZESE tu [emoji3][emoji3][emoji12][emoji12]
Karibu sana. Mlango uko wazi[emoji39][emoji39]Sijui ntangulie PM kabisa mkuu[emoji848][emoji848]
Karibu sana. Mlango uko wazi[emoji39][emoji39]
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] sawa. Usalama ukirejea karibuNimeona sio salama. Nimesitisha [emoji2210]