Kwamba zilizobaki zote unazo??Kweli umeamua ila vigezo namba 3 na 13 vimekuwa nje ya uwezo wangu na nahitaji hii nafasi..
Sijui taratibu zikoje naweza nikakata rufaa huenda kwenye rufaa nikashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahah ni vigezo pia mkuu.Masharti chungumzima utandhani unabembeleza Visa Ya kwenda china katika kipindi hiki cha Corona,Alafu hapo mwisho ulipo malizia awe mvumilivu wa papuchi asikilizie utamu hadi baada Ya mwaka mmoja huku na Simu yake Uwe unashika wa kupimwa akili Wewe.
Na corona yote hii. Ebu punguza jazba mkuu. Furahi hapa ni jfMasharti chungumzima utandhani unabembeleza Visa Ya kwenda china katika kipindi hiki cha Corona,Alafu hapo mwisho ulipo malizia awe mvumilivu wa papuchi asikilizie utamu hadi baada Ya mwaka mmoja huku na Simu yake Uwe unashika wa kupimwa akili Wewe.
Miss u too sumbai. We njoo tu, mie mbona ni mkarimu. Si unaona eti wanavyoninang'a eti na vigezo vyangu vingi. Akati na mie nataka nilete mrejesho niko serious.Ndugu mwandishi upo tayari kupimwa korona?
Miss u dear pujo
Jib pm
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4]maana hatarHapana sijapewa dada ahahh na sijawah kwenda uko
mkuu fanya hima tuyajenga you never know!Ahahahaha kweli?
Ahahaha ni sifa tuu mkuu. Kwani ww huna sifa za mtu umtakaye?Kwa sifa hizi labda kama msichana ni level za Kim kardashian au Kayle Jenner
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaa financial services. Umenikimbizia mtu uku doh!!!Kwa masharti haya bora tu niendelee kumbembeleza financial services! Labda ipo siku baada tu ya ujana kumpa kisogo, atalikubali ombi langu la muda mrefu la kufunga naye pingu za maisha.
Naona jinsi ulivyoamua kuwatoa watu povu kwa makusudi kabisaFunguka mkuu