Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kwamba zilizobaki zote unazo??Kweli umeamua ila vigezo namba 3 na 13 vimekuwa nje ya uwezo wangu na nahitaji hii nafasi..
Sijui taratibu zikoje naweza nikakata rufaa huenda kwenye rufaa nikashinda
Sent using Jamii Forums mobile app