Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Amini hayupoAhahahah akitokea anayekidhi aiseeee itabidi nimlete mumuone jinsi vigezo vilivyomfit
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini hayupoAhahahah akitokea anayekidhi aiseeee itabidi nimlete mumuone jinsi vigezo vilivyomfit
Sawa dada ata usijali nitaleta mrejesho kama akipatikana mwenye sifa zote hizo mana atakuwa ameshinda wote. Na mrejesho mwngne wa kuendelea vizuri utakuwa ni baada ya mwaka ahahaha.Sawa..utuletee na mrejesho..Dada ako nipo kutafuta namimi[emoji41]
😂😂😂 Umenifanya nicheke.. muone..sawa mdogo wanguSawa dada ata usijali nitaleta mrejesho kama akipatikana mwenye sifa zote hizo mana atakuwa ameshinda wote. Na mrejesho mwngne wa kuendelea vizuri utakuwa ni baada ya mwaka ahahaha.
Ahahahah wanauza 5000 mkuuHata kifurushi cha mwaka hakipo vile, barakoa maeneo yenu sh. ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa, mkuu niko tayari hata kuhairisha huu ujana lengo litimie, vipi unafiti vigezo vyangapi vya pujo ili nikupimie😀😀
Ila muda mwingine huyo winner anaweza asiwe the best among allAhahahah ndiyo namsubiria kwa hamu ili nirudi n mrejesho apa. Mana atakuwa amewashinda wotee.
Aisee vigezo ishirini na moja kwa maneno, kila rakheri katika kumpata huyo malaika duniani hapa hapa[emoji3]
[emoji86]Haaaa nitajitahidi nisisupp wala kucarry. Yani nisipopata hapa leo. Baaasi mie sianzishi uzi mwingine tena mana nitajua umu hawapo ahahah
Wanashida gani mamaEnock hata kwa hela mtoto wangu simuiti
Ebenezer na Erasto sijui nimeyasahu vipi wakati nishawahi fanya nao kazi...
Kila nikijaribu pm yako inagoma mkuu ...Fanya kama unanipm tuyajenge tukiwa sehemu tulivuAhahahah ata usiogope. Jiamini tuuu
Kwa uzi wako tu, wewe ni kahaba mbobevu na ulishafumuliwa hata marinda. Pambana na waliokubikiri.Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha
Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
2)Awe na miaka 29/30
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
6) Awe na ndevu za O
7)Awe na sura yoyote tu
8)Awe mweusi
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
10) Asiwe single father
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia
15)Awe anapenda utani
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
18) Awe na damu group O
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda
kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.
Sifa zangu
Atazipata taratibuuuuu. Ila ni mschana mbichiiii
Uje kama una izo sifa na haijapungua ata moja.
Ahahahahaha nashangaa watu sifa zao za mtu kuwa na kazi tu pamoja na umri. Hivi ndio vigezo sasa. (Nitaleta mrejesho ili watu muendelee kupata moyo wa kutafuta wenza kupitia jukwaa ili. Kama mimi nilivyopewa moyo na watu mbali mbali......
AiseeKwa uzi wako tu, wewe ni kahaba mbobevu na ulishafumuliwa hata marinda. Pambana na waliokubikiri.
We Dada UNA ROHO MBAYA...Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha
Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
2)Awe na miaka 29/30
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
6) Awe na ndevu za O
7)Awe na sura yoyote tu
8)Awe mweusi
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
10) Asiwe single father
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia
15)Awe anapenda utani
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
18) Awe na damu group O
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda
kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.
Sifa zangu
Atazipata taratibuuuuu. Ila ni mschana mbichiiii
Uje kama una izo sifa na haijapungua ata moja.
Ahahahahaha nashangaa watu sifa zao za mtu kuwa na kazi tu pamoja na umri. Hivi ndio vigezo sasa. (Nitaleta mrejesho ili watu muendelee kupata moyo wa kutafuta wenza kupitia jukwaa ili. Kama mimi nilivyopewa moyo na watu mbali mbali......
[emoji23][emoji23][emoji23] Ule uzi wa kula tunda kimasihara umekukosesha mke umeanza povu[emoji23][emoji23]
Ule uzi haujawai kumwacha mtu salama aise
Ahahaha una sifa tajwa?
Haswaaa kasoro hivyo nilivyovitajaKwamba zilizobaki zote unazo??