Mwenza bora anahitajika

Sawa..utuletee na mrejesho..Dada ako nipo kutafuta namimi[emoji41]
Sawa dada ata usijali nitaleta mrejesho kama akipatikana mwenye sifa zote hizo mana atakuwa ameshinda wote. Na mrejesho mwngne wa kuendelea vizuri utakuwa ni baada ya mwaka ahahaha.
 
Sawa dada ata usijali nitaleta mrejesho kama akipatikana mwenye sifa zote hizo mana atakuwa ameshinda wote. Na mrejesho mwngne wa kuendelea vizuri utakuwa ni baada ya mwaka ahahaha.
😂😂😂 Umenifanya nicheke.. muone..sawa mdogo wangu
 
Kwa uzi wako tu, wewe ni kahaba mbobevu na ulishafumuliwa hata marinda. Pambana na waliokubikiri.
 
We Dada UNA ROHO MBAYA...

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ule uzi wa kula tunda kimasihara umekukosesha mke umeanza povu[emoji23][emoji23]

Ule uzi haujawai kumwacha mtu salama aise

Dah! kule kwenye ule uzi hata mimi niliwahi kuchangia mara moja na kukiri ya kwamba huwa naupitia mara kwa mara ule uzi kwa lengo la kusoma stori za mabaharia na namna 'wanavyokula kimasihara'.
 
Duuuuh dadeki nimekosa vigezo 3 kati ya 21, maana nimehesabu niko na 18.

Vigezo vingi kama vile unagombea utukufu wa mbinguni,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…