Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

Kwa heshima yenu na kwa kura zenu nimetangaza nia Kwa mara nyingine

Shadeeya
Kwa kauli hii hakuna kurudia uchaguzi nitakuwa nimepita bila kupingwa
Niko uwanjani mwali ajitokeze

sumbai
Saafi!! [emoji3]
Mfuate kule piyemuni.[emoji28]
Naomba ukamtoe mwali ndani nipate kusemezana naye
Uwiiii!! Atakuja tu ngoja nimwite.

pujo.
Asipokuja wewe utakuwa njiwa mpeleka salamu
Vipi pamefungwa kweli?
Miwani nimeacha Ofisini hivyo hata sioni vizuri ngoja aje sumbai hebu atuambie. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

W a c h a j a n j a j a n j a w e w e . [emoji23][emoji23]
Mrembo pujo unaitwa huku.

Nimemis kucheza kwaito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom