Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

Hauwezi kumjua mtu tabia zake mkikutana mtandaoni na hata muonekano wake..
Ni vizuri ukimuona mtaani au ana kwa ana itakusaidia kujua vitu vingi kumuhusu yeye.
Au mnaogopa kutongoza?
Inategemea mkuu sio wote tunaishi mtaani .wengine tunaishi mtandaoni ndo maana tunatafutana sisi kwa sisi..

Vipi huko mtaani lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauwezi kumjua mtu tabia zake mkikutana mtandaoni na hata muonekano wake..
Ni vizuri ukimuona mtaani au ana kwa ana itakusaidia kujua vitu vingi kumuhusu yeye.
Au mnaogopa kutongoza?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio lazima wote tupende kwa kuangalia tabia ya mtu au muonekano wake...

Huku tunapenda kwa kuangalia maandishi hayo mengine tumewaachia nyie wa mtaani

Kutongoza mtaani kweli tunaogopa kama wewe unavyoogopa kutongoza mtandaoni
 
siogopi kumtongoza mwanamke mtandaoni Ila naona ni MAIGIZO. na kupotezeana muda..
Siwezi kabisa.mimi hata kuchat messages kwenye mitandao ya kijamii siwezi.

Back
Top Bottom