Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha

Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
2)Awe na miaka 29/30
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
6) Awe na ndevu za O
7)Awe na sura yoyote tu
8)Awe mweusi
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
10) Asiwe single father
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia
15)Awe anapenda utani
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
18) Awe na damu group O
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda
kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.

Sifa zangu
Atazipata taratibuuuuu. Ila ni mschana mbichiiii
Uje kama una izo sifa na haijapungua ata moja.


Ahahahahaha nashangaa watu sifa zao za mtu kuwa na kazi tu pamoja na umri. Hivi ndio vigezo sasa. (Nitaleta mrejesho ili watu muendelee kupata moyo wa kutafuta wenza kupitia jukwaa ili. Kama mimi nilivyopewa moyo na watu mbali mbali......
[/QUOTE] Ktk vigezo vyote kumi na tano isipokuwa sita acha waje wenye vigezo kamili
 
Hahah wewe si umekomaa na Yanga yako hutaki kusikia chochote..

Ila Offer is still valid!??(Bado iko palepale...wewe Pekee[emoji5][emoji848]

The only thing to fear is fear itself
Hahahaaa!!! Yanga Oyeeee!! 💃💃

Uwiiii!! Mtani mie niko porini huku mpaka kusema kuonana ni miaka. Unaeza subiria hadi ukachoka.
 
Hahahaaa!!! Yanga Oyeeee!! [emoji126][emoji126]

Uwiiii!! Mtani mie niko porini huku mpaka kusema kuonana ni miaka. Unaeza subiria hadi ukachoka.
Hahah nani alikwambia nitasubiria mpaka nitachoka!??

Hvi unakijua kipimo changu cha uvumilivu!?Sichokagi hata iwe miaka..

Simba nguvu moja!!!

The only thing to fear is fear itself
 
Hahahaaa. Naona unanipanga Mtani. Lol

Mtani ngoja nikaandae nyungu mie. Mana kwa sasa ni mwendo wa nyungu tu. [emoji1787][emoji1787]
Hahah naona umepiga ile inaitwa chenga ya mwili..(uzuri unaelewa)

Mimi siku hzi sipigi tena nyungu nimehamia kwenye oparesheni Limao na Tangawizi!!

Karibu!!


The only thing to fear is fear itself
 
Hahah naona umepiga ile inaitwa chenga ya mwili..(uzuri unaelewa)

Mimi siku hzi sipigi tena nyungu nimehamia kwenye oparesheni Limao na Tangawizi!!

Karibu!!


The only thing to fear is fear itself
Mtani mi pia huko nipo japo sijahamia mazima kwani ule uchungu bana huwa unanipa wakati mgumu sana.

Mana naona futari yangu naivuruga huko tumboni. 🤣🤣
 
Mtani mi pia huko nipo japo sijahamia mazima kwani ule uchungu bana huwa unanipa wakati mgumu sana.

Mana naona futari yangu naivuruga huko tumboni. 🤣🤣
Malimao na tangawizi ni chakula tiba hicho, usiidhulumu nafsi yako Shadeeya, tengeneza na iwe sehemu ya futari au daku yako. Utapata shibe na afya bora kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom