Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

Yani mpaka damu we kiboko bado hujapata tu kwa hivi vigezo Kama angevitoa mama yako kwa baba yako nadhani ungekua hujazaliwa na mama yako hajaolewa
[emoji2][emoji2][emoji2] mkuu relax bhnaaa
 
Huwezi jua labla anataka watu saba tofauti tofauti[emoji23][emoji23]

Acha sie tunaetaka mwanaume yoyote anaepumua tutulie[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahaha, jmn namtaka mtu mmoja tuu
 
Kuna watu wanajiona wako perfect sana. Fikiria vigezo alivyoweka hapo karibia vyote huwezi kuvipat kwa mtu mmoja. Mpaka jina anataka liwe na herufi spesho. Anakera.
Kwani we huna vigezo vya mwanamke umtakaye mkuu?
 
Nmechelewa au sijachelewa sana [emoji4]
Oyaa mkulungwa eeh, shituka dume hili.

Screenshot_20210228-135010.jpg


Na mwanzo alikuwa anajiita pujo.
Screenshot_20210228-135208.jpg
 
Oyaa mkulungwa eeh, shituka dume hili.

View attachment 1713864

Na mwanzo alikuwa anajiita pujo.
View attachment 1713868
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanifurahisha wewe. Sio bure umetumwa. Yani mpk unatabiri jinsia yangu. Duh!! We noumaaaa. Kwa taarifa yako, mimi ni mdada, kujiita pujo niliamua na maamuz yang hkn ambaye anakatazwa kujiita vyovyote, na kujiita johhana pia ni maamuz yangu.

Hiyo post ya kuomba nafasi ya bajaji. Nilimuandikia mtu alikuwa akiitaji ni rafiki yangu, ss sikutaka kuanza kujielezea apa kuwa Mimi nimeagizwa, post ni ya mtu au lah!!. Niliandika tu moja kwa moja. Usizushe tu mambo ya ghafla ghafla usiyoyajua brother sijui sister ww. Tafadhali sana
 
Back
Top Bottom