Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2] asa kitapitiwa na nani?Ww unataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia sio bure..... Yaaan Miezi 3 mpo kwenye urafiki tu bila kutoa papuchu huu ujinga sifanyi baada hiyo miezi 3 ukinipa kitushapitiwa siku nyingi we unazan ntakuwa na hamu tena ya kukuoa
Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha
Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
2)Awe na miaka 29/30
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
6) Awe na ndevu za O
7)Awe na sura yoyote tu
8)Awe mweusi
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
10) Asiwe single father
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia
15)Awe anapenda utani
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
18) Awe na damu group O
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda
kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.
Sifa zangu
Atazipata taratibuuuuu. Ila ni mschana mbichiiii
Uje kama una izo sifa na haijapungua ata moja.
Ahahahahaha nashangaa watu sifa zao za mtu kuwa na kazi tu pamoja na umri. Hivi ndio vigezo sasa. (Nitaleta mrejesho ili watu muendelee kupata moyo wa kutafuta wenza kupitia jukwaa ili. Kama mimi nilivyopewa moyo na watu mbali mbali......
Na kama hawakua na sifa, aliwapa papuchi ya nini?!ID yangu inasoma 2015, lakini nilitaka kukuuliza hivi hao wengine waliopitaga kwako hakuna aliyekuwa na kigezo hata kimoja?
Maisha na muziki
First to reply [emoji125][emoji125][emoji125]
😀 😀 😀 😀 Sidhani kama atawezana
Ngoja aje athibitisheDuh! 😳😳😳😳
vyote ambavyo huwez pata kwingine! kuna vitu ni exclusive kwa wachaga tu[emoji38][emoji38][emoji3061] kwn wachaga ndo Wana nini
Imeisha iyo mkuu[emoji38][emoji38][emoji38] apo chacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha.......anza kunificha ndani jirani mashoga zako wasinione, manake sifa zote ninazo😀😀[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu, usinifanyie ivyo jamani
Duuuh hizo sifaaa,utasubiri sanaPoleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha