Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

😂😂😂😂😂😂😂 sawa Johhana, lakini si unakumbuka Kikwete wosia wake? Za kuambiwa...
Mkuu si umeona Kuna watu wesema kuwa Wana sifa zote?. [emoji16]
 
[emoji38][emoji38][emoji849]joka jeusi ndiyo nani?
Ni Jokajeusi

👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

1614874532629.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa Johhana, lakini si unakumbuka Kikwete wosia wake? Za kuambiwa...
Nijumlishe na nyengine...
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aisee, ya kweli hayo?. Mana sitaki ata kuamini mkuu.
Angalia email yako, nimekutumia wasifu wangu pamoja na picha yangu.

Tutafute kabisa nyumba yenye fence , mashoga zako wasinione kabisa
 
Angalia email yako, nimekutumia wasifu wangu pamoja na picha yangu.

Tutafute kabisa nyumba yenye fence , mashoga zako wasinione kabisa
[emoji849][emoji2960] email tena?. Loooh!!!
 
Back
Top Bottom