Habari wana Jamii Forum.
Nipo kwenye kipindi muafaka kabisa cha kupata mwenza wangu wa maisha. Swala la kumpata mtu sahii wa kuoa/kuolewa ni changamoto hasa zama hizi. Kutokana na kukua kwa sayansi na teknolojia, ime rahisisha na kupanua zaidi namna ya kutafuta mchumba tofauti kidogo na hapo zamani. Hivyo basi naamini kwa uwezo wa Mungu nipo sehemu sahihi kabisa.
KUHUSU MIMI
Umri 30 yrs, naishi Dsm, Muajiriwa serikalini, Elimu yangu ni Bachelor Degree, i am muslim. Sijawahi kuoa na wala sina mtoto. Ni mvumilivu na mcheshi.
MTU NINAE MHITAJI
Umri 23- 30 yrs, Elimu high school/college. Ukiwa na elimu kubwa zaidi ni added advantage. Mwajiriwa/ana ajirika, Muislam. Awe hajawahi kuwa na mtoto.
Bila shaka kuna Mengi zaidi ya kujuana tukisha kuwa na mwelekeo mmoja. Private message yangu ipo wazi, Karibu.