Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mwenza wa Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris Bw. Douglas Emhoff akicheza mpira wa Kikapu pamoja na kupiga Mpira wa Tuta (Penalty) mara baada ya kufanya ziara katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam Dar es Salaam leo Machi 30, 2023.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkaribisha Mwenza wa Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris Bw. Douglas Emhoff (kulia) alipotembelea Kituo Cha Michezo cha Jakaya Kikwete Youth Park kilichopo Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo Machi 30, 2023.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app