Mwenza wa Kamala Harris, Bw. Douglas Emhoff ziarani Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Youth Park, Dar

Mwenza wa Kamala Harris, Bw. Douglas Emhoff ziarani Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Youth Park, Dar

Fisadi la msoga siku likifa na haya mavitu kibao aliyoyapa jina lake tutayabomoa tu tuondokane na kumbukumbu yoyote ya yule kupe kwenye nchi hii
 
It's good to know mwenza wa kiongozi Mwanamke anaandamana na mwenza wake katika ziara mbalimbali.
This is well noted.
P

Kila siku najiuliza hivi mume wa Samia haoni jinsi wenzie wanavyowaunga mkono wake zao? Mara zote Samia anaposafiri kwenda nje ya nchi anafuatana na wapambe tu mumewe haonekani kabisa!! Hata juzi Kamala Harris alipokuja na mumewe sheikh Hafidhi hakuonekana!! Hii haileti picha nzuri kwa kiongozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom