Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Hapana ni mtu uliyesoma nae nadhani.Ivi mwenza ndio mume wake
Ahaa apo sawaHapana ni mtu uliyesoma nae nadhani.
Shoga umemuona mwenzako hapo.Hapa nchini kwao Marekani Kamala Harris na mumewe Douglass walipoenda kuwatembelea wanafunzi mashoga na kuwapa support gay community. Mfuniko na pipa wamekutana
View attachment 2571009
Exclusive: Doug Emhoff Will Meet With Gay and Transgender Kids Today
Second Gentleman Doug Emhoff will host a virtual roundtable today with LGBTQ+ students from across the country.www.advocate.com
Kumla tigo mwanamke ni tofauti na kumla kidume mwenzako. Tunadeal na za wanawake tuShoga umemuona mwenzako hapo.
Acha michezo michafu wafiraji mbinguni mtapasikia tu
Tanzania haina dini,yeye ni Raisi wa jamuhuri ya muungano wa TanzaniaSo me najiuliza ina maana MHESHIMIWA RAIS kumpokea huyu mwanamke ambaye wazi wazi anasapoti matendo ya ushoga na ujumbe wake wa kusapoti ushoga ina maana gani kwake yeye ambaye ni mshika Imani na swala tano?
I mean Imani yake inasapoti haya mambo, je kwann hakuweza kuwa mtata kama magufuri kutokuweka ukaribu na hawa mashetani.
Atujengee sports academies basi.View attachment 2570903
Mwenza wa Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris Bw. Douglas Emhoff akicheza mpira wa Kikapu pamoja na kupiga Mpira wa Tuta (Penalty) mara baada ya kufanya ziara katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam Dar es Salaam leo Machi 30, 2023.
View attachment 2570969
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkaribisha Mwenza wa Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris Bw. Douglas Emhoff (kulia) alipotembelea Kituo Cha Michezo cha Jakaya Kikwete Youth Park kilichopo Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo Machi 30, 2023.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
It's good to know mwenza wa kiongozi Mwanamke anaandamana na mwenza wake katika ziara mbalimbali.Mwenza wa Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris Bw. Douglas Emhoff akiwa katika Picha ya pamoja na vijana wanaojifunza mpira wa Miguu na Kikapu katika Kituo Cha Jakaya Kikwete Youth Park Dar es Salaam leo Machi 30, 2023. Waziri Mhe. Dkt. Pindi Chana ameshiriki ziara hiyo.View attachment 2571382View attachment 2571383View attachment 2571384
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app