Mwenza wa kushare nae life.

Mwenza wa kushare nae life.

sicu

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
69
Reaction score
22
Alie serious kama mie tuwasiliane basi.
Ambae yupo tayari kusonga mbele nami kimaisha.
Naomba niandikie barua ndefu jieleze kwa makini juu yako, kama vile umri ulio nao, unapoishi, dini yako, kijiji ulikotoka, ili nikuelewe. Nami nitakuelezea juu yangu, lakini sio hapa jukwaani.

Mimi sichagui dini wala kabila, kwaiyo mbaguzi wa dini na kabila, hasiwasiliane nami.
 
Weka info zako kwanza jinsia yako,umri na mengineyo
 
We nae wa ajabu kweli.
Unataka uandikiwe barua ndefu ya kujieleza wakati wewe hata jinsia yako ujaweka, una akili sawa sawa kweli wewe?
Kuwa serious, kama vipi anza wewe kuandika profile yako hapa watu wakutongoze sio unakulupuka tu kama umefumwa.
 
Weka info zako kwanza jinsia yako,umri na mengineyo

anaeitaji kujua juu yangu atanitafuta private, sio hapa.

Sitaki shari na binadam wa JF. sababu ukisema mrefu, wataanza kusema, mrefu kama twiga.
Ukisema mtu upo mfupi, utambiwa mbili kimo.
Ukisema upo mweusi. utaambiwa mweusi kama kima

Mpaka utajiskia vibaya. Binadam bwana, matata
 
Back
Top Bottom