Mwenza wa maisha (mume) anahitajika!

Mashaalah shungi hiyo bwana!!!! Yaani inanipita hivi hivi kweli jamani, maskini mimi kila bahati ikija basi namisi kigezo kimoja tu......kwa nini wazee?...............ah! all the best Nareem
 
Mashaalah shungi hiyo bwana!!!! Yaani inanipita hivi hivi kweli jamani, maskini mimi kila bahati ikija basi namisi kigezo kimoja tu......kwa nini wazee?...............ah! all the best Nareem

Pole sana DSpecial, pia shukran kwa ujumbe. Usihofu juu ya hili kwani utapata mwingine aliye bora zaidi na zaidi. Kuwa na subira na unyenyekevu tu! Nami nakutakia kila la kheri katika hili.
 
Bint Nareem, unaonekana kuwa na busara sana. Nimependa sana unavojibu maswali. Bila kujali mengine unaonekana kuwa mama mwema hapo baadaye. Mungu akujaalie upate wako.
 
ol the best nareem! kuwa macho na visarata wa kitaaa!
 
Bint Nareem, unaonekana kuwa na busara sana. Nimependa sana unavojibu maswali. Bila kujali mengine unaonekana kuwa mama mwema hapo baadaye. Mungu akujaalie upate wako.

Shukran nyingi kwako MESTOD! Kwa kumtegemea Muumba natumai nitapata aliyemwema na atanisaidia nami pia kuwa mwema zaidi.
 
Mimi nakupenda bibie, ni pm tafadhari!
 
Sifa zingine zote ninazo kasoro degree ndio ninachukua sasa nipo mwaka wa 1 ila nipo kwenye ajira. Kuhusu imani je una swali?
 
Mi nina sifa zooooote,kasoro ni kwamba mi ni mkristo!
 
utafutaji mwema mama mm sio mwisilamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…