TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Wepesi kutoa hata jicho imradi mme uridhikehii kali...kama hutajali, mwaga experience yako mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wepesi kutoa hata jicho imradi mme uridhikehii kali...kama hutajali, mwaga experience yako mkuu...
ok, basi funguka kwa dada labda utabahatika aisee....pole kwa kuachana na mkeo jamani!
Habari zenu wanajamii.
Jamani maisha ni safari ndefu na inahitaji uvumilivu na ujasiri. Nimetumia ujasiri wangu kwa kujitokeza katika jukwaa hili ili kuweza kupata mwenza ambae atakuwa mume kama Muumba akibariki. Kwa aliye na nia ya dhati haswa naomba tuwasiliane kwa private message.
Sifa zangu
Umri: Miaka 30
Umbo:Ni wa kawaida sana, na kwa wale wanopenda makalio makubwa, mimi sina jamani, ni bora kuwa mkweli!
Urefu: Centimeter158
Rangi: Maji ya maharage
Elimu: Degree mbili
Kazi: Muajiriwa wa serikali
Dini:Islam
Sifa za Mtarajiwa
Umbo: asiwe na kitambi kwa kweli
Urefu: itakuwa vyema kama akinizidi maana isije leta zahma
Rangi: yeyote
Elimu: Degree
Kazi: Ni muhim maana maisha ni magumu sana
Dini: Islam, ila uwe hujaoa!
Najua kunawatakoleta mzaha, ni kawaida sana kwenye jamii. Nipo tayari kwa maswali mtakayoyauliza. Karibuni!
Mashaalah shungi hiyo bwana!!!! Yaani inanipita hivi hivi kweli jamani, maskini mimi kila bahati ikija basi namisi kigezo kimoja tu......kwa nini wazee?...............ah! all the best Nareem
Yeye ndio wa kufunguka....vigezo na masharti kuzingatiwa
Twende ligi basi la kugombea toto hili la kiarabu
Wepesi kutoa hata jicho imradi mme uridhike
OTIS, deadline ni mpaka atakapopatikana!
Bint Nareem, unaonekana kuwa na busara sana. Nimependa sana unavojibu maswali. Bila kujali mengine unaonekana kuwa mama mwema hapo baadaye. Mungu akujaalie upate wako.
ol the best nareem! kuwa macho na visarata wa kitaaa!
msimamo wa ligi upoje so far
OTIS, usiwe na shaka mechi bado hata round ya pili!