Mwenza wa maisha (mume) anahitajika!

Mwenza wa maisha (mume) anahitajika!

duh napata wasiwasi mpaka unagonga 30,no fiancee!!em tuwekee picha yako tafadhali,wengine tunaogopa kuingia mkenge lol

Kuwa na shaka ni kitu cha kawaida sana, ila kama unania hata shaka usingekuwa nayo. Ndo maana huwa kuna kuonana ili kukubaliana na hali ya kila mmoja! Na pia haimaanishi sikuwa na mahusiano katika maisha yangu, la hasha, ila si kila mahusiano huzaa matunda yaliyo mema! Nadhani utakuwa umenielewa.
 
Ngoja nianze gym
deadline ya maombi ni lini?
 
Hapana, sina bikra!

Kigezo changu kikubwa ni mwanamke asiye na bikra maana inawezekana ana uzoefu kwenye mambo ya ndoa ili ani train, mimi sijawahi kufanya mapenzi. Ngoja nihangaike nawewe.
 
Mungu akubariki katika safari yako ya kutafuta mwenza wa kweli. Nimependa jinsi ulivyo muwazi na unavyojibu maswali.
 
Back
Top Bottom