Kipato cha mtu ni siri yake , na sio kila mtu anajua watu wanaishi vipi, sasa kwanini uone watu wanatoka Mars?Mkuu mimi sijasema hela nyingi nazungumzia uharisiaa wa maisha hiko ndio vipato vya watu huku mitaani so iwe ndogo au kubwa haibadiri ukweli.
Sasa ukiandika kwa mshangao naona kama unatoma MARS sio Planet Earth.
Kipato cha mtu sio vipato vya watu. Uharisia ni huku mitaani asilimia kubwa hawapati hata hio 400K kwa mwezi ukiwaambia unalipwa 400K wanaona ushatoboa.Kipato cha mtu ni siri yake , na sio kila mtu anajua watu wanaishi vipi, sasa kwanini uone watu wanatoka Mars?
Mnafanya nae kazi wapi? Unafikiri kwamba sijui kuna wanaolipwa mpaka 60k ? Huyo tumejiuliza kwa maisha ya dar na familia ya watu watanoKipato cha mtu sio vipato vya watu. Uharisia ni huku mitaani asilimia kubwa hawapati hata hio 400K kwa mwezi ukiwaambia unalipwa 400K wanaona ushatoboa.
Kuna mzee nafanyagnae kazi analipwa hio 400K anafamili na umri wa mzazi wangu 60's
Nnje na dar sawa kwa dar pagumu kwa hiyo hela
Mnafanya nae kazi wapi? Unafikiri kwamba sijui kuna wanaolipwa mpaka 60k ? Huyo tumejiuliza kwa maisha ya dar na familia ya watu watano
Noma sana mkuu , kwa sisi wenye bajeti za vinywaji changamshi , hapo lazima uwe mwizi😄Dar ugumu wake ni pango tena kama utataka vyumba vya kisasa,
Pili ni nauli.
Ila gharama za maisha zipo chini kwenye mavazi na chakula.
Mfano kwangu!
Mimi bajeti yangu ya kula ni 290k kwa mwezi na ninafamilia ya watu watano.
1. Nafaka 100k.
Mchele 12kg Tsh 27,000
Maharage 10Kg 28,000
Unga wa ngano. 10kg. 18,000
Unga wa Dona 10kg. 14000
Tambi pakti 5. 10,000
Makande. 5kg. 7500
Jumla. 115k
2. Vitoweo
Kuku wawili broiler. 16,000/=
Nyama ng'pmbe 2kg. 24,000/=
Trey mbili za mayai ya kisasa. 17,000/=
Dagaa mwanza 1kg. 12,000
Samaki 20,000/=
Jumla. 89,000/=
3. Vinywaji na mahitaji engine
Maziwa lita 10. 15,000/=
Mafuta lita 2. 12,000/=
Sukari. 3kg. 9,000
Chumvi pakti tatu. 1500
Jumla 27,500/=
4. Matunda, mboga na viungo
Viazi mviringo sado 4,000/=
Nyanya. Sado 2. 6,000
Bamia 2,000
Vitunguu kilo mbili. 3,000
Nyanya chungu. 2,000/=
Limao. 2000
Pilipili. 1000
Tangawizi. 2000
Pilipili manga 3000
Mbogamboga. 10,000
Matunda. 5,000/=
Jumla 50,000/=
Chakula cha 120k wale watu 5 Kwa mwezi mkuu
Kuanzia chai, lunch na dinner mwezi mzima
Kwa Sasa kg ni 2800 hadi 3000
Hivi utaishi Dar bila maji kupika, kunywa, kufua n.k
Mke na yeye hatumii simu kuweka vocha wala bando
Nauli? Au ana gari?
Hakuna dharula? Mna uhakika familia ya watu 5 mtatoboa mwezi bila kuhitaji hata Panadol? Kunyoa, kuvaa
Hapo kuna gharama ya uhanga UsisahauMke na watoto awaache kijijini,aje apambane mwenyewe anachokipata anawatumia!
Noma sana mkuu , kwa sisi wenye bajeti za vinywaji changamshi , hapo lazima uwe mwizi😄
Mke na watoto awaache kijijini,aje apambane mwenyewe anachokipata anawatumia!
Nakuelewa sana bwasheeSisi wengine hatujaajiriwa.
Tumeanzia kwenye kipato kwa mwezi unaingiza 200k unasota hvyo karibu miezi sits. Inaongezeka 260k.
Mwakani 300k
Kuongezeka kunategemea na unatunza kiasi gani na utawekeza izae kwa kiwango gani.
Ninaposema No mademu no Gamble basi formation ndio hiyo.
Kujibana mwanzoni hasa miaka mitano ya awali hakuepukiki.
Ukishindwa kujibana na hauna kazi ya kueleweka au kazi kipato kipo below 1M nakuhakikishia Mji utakuwa mgumu Sana
Uhanga ni kitu gani?Hapo kuna gharama ya uhanga Usisahau
Labda alitaka kusema kuhonga😄 akatetemekaUhanga ni kitu gani?
Nakuelewa sana bwashee
Uhanga au upwiru! shibela kashauri familia aiache kijijini! Aliiacha ataanzisha gharama nyingine maana uhanga nao haupigagi hodiLabda alitaka kusema kuhonga😄 akatetemeka
Nafikiri akisoma yote haya atapata picha kamili akija Tanzania kwa kulipwa kipato cha 400k .Hapo kitakachomchanganya sio 400k
Bali ni mpango kazi wake,
Mtazamo
Mkewe kama ni biringanya.
Kitaaolojia. Kujua mtaa na mfuno wa uchumi.
Kujidhibiti na matamanio yake ambayo ni liabilities kama Pombe na mademu na kamari. N.k
Kuvaa avae kawaida ila awe msafi.
Asihitaji mbwembwe na kuonekana juu wakati kipato chake ni below 1M yaani maskini
Ila siimeleta maana kwenye kuhonga tu?Uhanga au upwiru
Labda wale nusu kwa siku, mimi kwangu kg 2+ ili mambo yakae vyema tumboni.Watu watano hawamalizi kilo 12 ya .
Bajeti yake inabana Sana,itafanya hao watoto waishi mazingira magumu Sana!Kimahesabu akikaa nao ndio nafuu kuliko wakikaa mbali.
Labda wale nusu kwa siku, mimi kwangu kg 2+ ili mambo yakae vyema tumboni.
Na hapo sijaoa mkuu😅