Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hiyo hela uloweka hapa ni nauli ya dar kwenda na kurudi kazini, chakula cha mchana kazini, maji ya kunywa kazini pamoja na pango . Hapo familia hakuna
400,000 man alone bachelor hio inatosha ila familia ya mke na watoto watatu huo mtihani maana hapo budget ni kubwa na mazingira ya Dar nyanya 1 300 si ataishia kula tembele chukuchuku?Inamtosha kama Hana mambo mengi na anajua matumizi ya hela
400,000 man alone bachelor hio inatosha ila familia ya mke na watoto watatu huo mtihani maana hapo budget ni kubwa na mazingira ya Dar nyanya 1 300 si ataishia kula tembele chukuchuku?
Zitamuozea hapo unampa gharama ya kununua jokofuKwa nini achukue nyanya moja ya miatatu wakati akienda Mabibo anapata za elfu mbinu karibu sado nzima
Unajua wanakaaga wapi ?fanya uchunguzi vizuri utagundua watu hawana pakukaa japo wanafanya kazi..Watu wanalipwa chini ya hiyo na wanafamilia tena labda nikuambie nusu ya unaowaona huko njiani pato lao halifiki hiyo pesa
Unajua wanakaaga wapi ?fanya uchunguzi vizuri utagundua watu hawana pakukaa japo wanafanya kazi..
Kwa dar wengi wanaishi nje na kwenye magofu..endelea kufanya research mkuu400k wengi wao hukaa room zinazorange 50-80k
Hao ulio wa quote ndio Walimu?
Kwa mbindeLaki 4 yeye na watoto watatu hapo daslamu atatoboa bwashee?