Mwenzenu kimenuka

Mwenzenu kimenuka

Nasoma avatar name yako na ninajaribu kuoanisha na bandiko lako, nitasema baadaye!!
 
Sasa mzee wewe unataka kut**mba tu, hata hela ya kununua chupi amuombe baba yake ?
Acha ubwege kama umeingia kwenye tasnia hii , kutoa hela ndo mpango mzima
 
Last edited:
Ninadem hatujawahi duuuu lkn ananizingua sana hataki tu duuu mpaka mwakani sasa yy anapenda kuniomba hela sana bt awamu hii nikagoma kumpatia kaniandikia ujumbe kwamba """ usiponitumia Leo bc usinipigie cm wala nn"" na mm ckutuma mpaka sasa lkn nampenda so my dear rafiki what can l do?
Mwambie Akupatie Mzigo Leo Si Ndio Mwakan!
 
hivi kwani hakuna mapenz pasipo kudo, kama unampenda mvumilie sex before marriage ni maumivu
 
Unajua madhara ya ku do kabla ya ndoa? Hivi wakati unamtongoza ulimweleza ukweli kwamba unataka kum do tu na si vinginevyo? Nahisi huna mapenzi ya kweli ya kwake, ndiyo maana akwambia mtafanya mwaka ujao. Kwa fikra zangu ndogo tu; mwache msichana wa watu ajinafasi. Ngono kabla ya ndoa haikubaliki!
Acha wivu bas
 
Back
Top Bottom