Mwambie Akupatie Mzigo Leo Si Ndio Mwakan!Ninadem hatujawahi duuuu lkn ananizingua sana hataki tu duuu mpaka mwakani sasa yy anapenda kuniomba hela sana bt awamu hii nikagoma kumpatia kaniandikia ujumbe kwamba """ usiponitumia Leo bc usinipigie cm wala nn"" na mm ckutuma mpaka sasa lkn nampenda so my dear rafiki what can l do?
Acha wivu basUnajua madhara ya ku do kabla ya ndoa? Hivi wakati unamtongoza ulimweleza ukweli kwamba unataka kum do tu na si vinginevyo? Nahisi huna mapenzi ya kweli ya kwake, ndiyo maana akwambia mtafanya mwaka ujao. Kwa fikra zangu ndogo tu; mwache msichana wa watu ajinafasi. Ngono kabla ya ndoa haikubaliki!