cha kwanza kufanya mpe taarifa mmeo!then jadilianeni nini cha kufanya!!ukikaa kimya na sms hizo ikatokeo mwenzio kaziona unaweza ukawa na mgogoro wa pili kuutatua!
Wewe lazima usifiwe, mana umeanza kuzaa kabla ya kufunga ndoa...Usipige kelele mana kuzaa nje ya ndoa hizo ndo zawadi zake.
Mkiambiwa zinaa mbaya hamsikii, hayo ndio matokeo ya kuwafungulia kufuli wanaume ambao hawajawaoa. Astahili yakukute.
Sasa ulitegemea nini? Uzinzi na dhambi ufanye wewe ushauri utake kwetu? kila mtu atabeba msalaba wake. Unanshangaza!
Mkiambiwa zinaa mbaya hamsikii, hayo ndio matokeo ya kuwafungulia kufuli wanaume ambao hawajawaoa. Astahili yakukute.
Sasa ulitegemea nini? Uzinzi na dhambi ufanye wewe ushauri utake kwetu? kila mtu atabeba msalaba wake. Unanshangaza!
FF, mhusika amekubali ya kuwa amekosa, sidhani kama huu ni muda wa kumponda mwenzetu ambaye yupo njia panda, kwani maji yalishamwagika!!! Shida yake ni ushauri tu ambao utaweza kumsaidia kwa sasa.
sikujua dada FF unaroho mbaya namna hii ,wewe ni mama na kama hayakukuta kwa wanao basi yatakukuta kwa wajuuu,haya mama siku njema na imani wewe ni msafi siku zote, nawashukuru wengine wote waliojitolea kunishauri hawana uchoyo wa msaada kwani mpaka sasa nimeshapata mwangaMkiambiwa zinaa mbaya hamsikii, hayo ndio matokeo ya kuwafungulia kufuli wanaume ambao hawajawaoa. Astahili yakukute. Sasa ulitegemea nini? Uzinzi na dhambi ufanye wewe ushauri utake kwetu? kila mtu atabeba msalaba wake. Unanshangaza!
Ukiamuwa kufanya dhambi, uyakubali yote yatayokukuta, usituingize na sisi kwenye dhambi yako. Alipofunguwa kufuli yake nje ya ndoa alikuja kutaka ushauri humu?
Hakuna kinachificha damu ya mtu si sheria wala fedha. Siku moja huyo mtoto atamfuata baba yake taka usitake. Ushauri pekee kaa na mumeo mumtafute huyo BABA halali na mpange mipango ya kumpa mtoto faraja. wEKENI HASIRA MBALI. Kama ni gharama arudishe. Kumhudumia mtoto wa Mwenzio ni ubinadamu tu haihalalishi kumnyima mwenye mbegu yake UZAZI. HUO NDIO UKWELI HATA KAMA UNAUMA. FUATA USHAURI HUU HUTAJUTIA.
yale yaleeeeee nayaongeleaga kila siku humu mmu,sasa nikuulize mtoa mada,mwanao ashawahi kukuuliza babake nani? Ulimjibuje?