Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
mich u bujibuji.naona umerejea baada ya xmas.
vipi huo mkono? Unatafuta nini huko?
Hebu taja bitozi yeyote au sista du yeyote, awe mwana muziki au mcheza sinema za kibongo,
kwa nini hawabandiki mitandao ya kijamii picha za nyumbani kwao ili tuone maisha yao halisi ikiwa ni pammoja na wazazi wao na ndugu zao wa karibu?
kila siku naona wanabandika mapicha waliyopigwa kwenye majengo na mahoteli ya hali ya juu.