Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Hakuna tatizo lolote, tena utazidi kupendeza na kufocus kwenye vitu vinavyokuletea maendeleo.
 
mmmh usijali mi hadi nshasahau, mwaka wa 4 sasa nanshazoea usijali tulizana tu
 
Mbona kawaida ingekua kunatokea tatizo basi na wale mavirgin nao wangekua na shida
 
Kuna madhara ndio. Kati ya hayo yameshaanza kujionyesha katika 'typing' yako. Hayo makosa uliyofanya yametokana na ukosefu wa vitamin C, calcium, chlorine, citric acid, fructose, magnesium, nitrogen, phosphorus, potassium, sodium, lactic acid, B-12. Hayo 'madini' yote yanapatikana kwenye....damn i wish i had a font for showing when i'm being stupid.
 
Back
Top Bottom