asia abasi
Member
- Aug 15, 2015
- 6
- 2
Nimekaa miaka miwili sijakutana kimwili na mwenzi wangu.
Swali; Je, kuna athari zozote zinaweza kutokea.
Msaada
Swali; Je, kuna athari zozote zinaweza kutokea.
Msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada
Msaada
Unataka msaada gani? Fafanua bidada wapo sperms donors hapa.
miaka miwili tu?
Mimi nina miaka 10! tangu nije mjane na sina tatizo lolote
teh teh..Na ww si kitakuwa na kutuAnatafuta wakumtoa kutu huyo
Kishachacha tayari..Hakiliki hata kwa ndimuSasa si kitaoza hicho au..
Kishachacha tayari..Hakiliki hata kwa ndimu
Hahaa..jaribu kuonja
Teh teh..Bora aisee..Nilikuwa nataka kuomba nikawa nakuogopa ww..Ahsante kwa ruhusa