Hah ha ha..Mamie acha wivu basi...Nimpe nusu na robo ama??
Ampe kutwa mara moja, kama tu anatoka nje ya mikoa ya (bukoba, moro, dar, tanga, pwani). Ha ha haaa!
hahahaaa miaka miwili kupekechwa? walahi hiyo mbunye ya uyu bishost ishapata kutu
Sasa si kitaoza hicho au..
mmh mbona unanitisha... ngoja nikiangakie na changu!!!
Hahaa..Usiniambie na wewe umekaa Miaka miwili bila kunywa maji ya uzima.
tumekatazwa kanisani... mpaka tuoe!!!
Anatafuta wakumtoa kutu huyo
Utaoa chachu. Shauri yako
Kila ninapoliona jina lako najisikia burudani kabisaaaa
teh teh..Haya mama..NimekuelewaRobo tu. Tena una dilute
Ntaenda na picha yako kwa ajili ya kuvutia hisia..vinginevyo hata hiyo robo sitaweza