Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Kiafya hakuna madhara yeyote ila kisaikolojia kuna madhara makubwa.
-Utakuwa haupo makini kiutendaji wa shughuli zako,
-Utakuwa unahamu mno/kupoteza hamu
-Kuwa mtu wa hasira nyumbani, ofini au popote
-Kupoteza kumbukumbu haraka. Unaambiwa kitu ndani ya dk5 umesahau
-Kujiona mpweke/una hadhi kuliko wenzako kwa maana y kuwa na maringo.
Ni hayo tu. Ila kiafya haina madhara.

U ar absolutely correct!! Hiyo ya tatu na mwisho vinanihusu japo ni me ila kuongezea tu... Kupenda kutazama video au pic za utupu.. Pia kusoma hadith za malove davi.
 
Fhuhvsjjzgsnkxkbzhak ukifata ushauli wangu utafanikiwa wai fasta....
 
utakimbia uchizi ww haya tu.tafuta duduwasha!! mapema iwezekanavyo.
 
Kama hamjamiminika pm ntajua kweli nyie kaka zangu mazezeta walah
 
U ar absolutely correct!! Hiyo ya tatu na mwisho vinanihusu japo ni me ila kuongezea tu... Kupenda kutazama video au pic za utupu.. Pia kusoma hadith za malove davi.

Mmmh hiyo ya kujiona sijui maringo sidhani kama ina ukweli ktk hilo.
 
hata mimi nina miaka miwili sijagonga kama vipi tutoe ngunga
 
Mmmh hiyo ya kujiona sijui maringo sidhani kama ina ukweli ktk hilo.

Sio kwamba ww ndo unajiona una Maringo bali watu wanakuwa wanakuhisi hivyo kutokana na kuwa mpweke na kivyako vyako.
 
Unaishi wap? Mtaani kwenu vijana madomo zege? au haulipi usoni kama Mgongoni? nyoosha maelezo
 
Mmmmm JF tam mnoooo _________- Vimbwanga vya kila aina ____- IQ tofauti balaa
 
Nimekuwa mjane for more than 7 years na sijatenda. Sioni ttz ila kuna saa unatamani c siri
 
Back
Top Bottom